ISBN 9781536997231 is currently unpriced. Please contact us for pricing.
Available options are listed below:
Available options are listed below:
Maisha YA Haji Gora: Msanii Atayedumu Milele
| AUTHOR | Saleh, Ally |
| PUBLISHER | Createspace Independent Publishing Platform (08/09/2016) |
| PRODUCT TYPE | Paperback (Paperback) |
Description
Kazi hii ni muhimu sana kwa historia ya usanii hapa kwetu Zanzibar, lakini pia ni urathi mkubwa kwa Waswahili wote popote pale walipo, iwe ni Zanzibar, Tanzania, mwambao wa Afrika Mashariki na kwengineko. Ni kuendeleza utamaduni wa kutunza watu ambao wameifanyia mema Zanzibar. Lakini kitabu hiki kilichoandikwa na Ally Saleh kikijikita zaidi katika usanii ambao Haji Gora ambaye amepata ubobezi mkubwa na kazi hii inatambua mafanikio yake. Bila ya kupata fursa ya kuingia hata banda moja la darasa, Haji Gora atawacha kazi kadhaa wa kadhaa kwa ajili yetu na vizazi vijavyo. Na atatuwachia mafunzo kadhaa yaliojaa katika tungo zake za ngoma za kienyeji, taarab na hata tenzi zake kadhaa wa kadhaa.
Show More
Product Format
Product Details
ISBN-13:
9781536997231
ISBN-10:
1536997234
Binding:
Paperback or Softback (Trade Paperback (Us))
Content Language:
Swahili
More Product Details
Page Count:
136
Carton Quantity:
52
Product Dimensions:
5.98 x 0.32 x 9.02 inches
Weight:
0.46 pound(s)
Country of Origin:
US
Subject Information
BISAC Categories
Biography & Autobiography | Philosophers
Descriptions, Reviews, Etc.
publisher marketing